Hivi Yuko jf.Mzee wa hall V ana mtuwe wa Long time kitambo itakuwa kamzuia kuingia jf nadhani anaitwa Cute B mnywani!
Hivi ndo ulidinda kutupia kabisa wee mnywani memiss kukuona mwarabu !
Hahahaha,Tangu utupiege umevaa raba sijabahatika tena kuona π€³ zako kamanda!
Mbn mapema sanaMrare unono wapendwa!! Kesho nayo siku π€π΄π΄π΄π΄π€π€π€π΄π€!
Usingizi rafiki.. Sijui ndo uzee mnaita!Mbn mapema sana
InawezekanaUsingizi rafiki.. Sijui ndo uzee mnaita!
Safi sana, KAZI kaziGood morning
Naomba nitumie mcheleeee pleaseGood morning
Bila kumsahau Mzeiya wa mwongozo πππππππWakina Mshana Jr hawakawiii kukuibia
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...YouTube Nahiki Hiki ki itel changu sasaππ!
Wee Unakwama wapi rafiki mbona tukielewaga ntu hata husumbuki muda wote huo??π€π€π€
Itabidi Smart911 akupe mwongozo namna ya kutunasa easily π!
Hahaha dah!! Acha nikae kimya tu... Sasa mimi nifanyaje...Bila kumsahau Mzeiya wa mwongozo πππππππ
Weka mbali na mukeo ππ€π€π€π€
Selfika hata mkono tu basiiiiππππ!Hahaha dah!! Acha nikae kimya tu... Sasa mimi nifanyaje...
Ngoja tuone...Selfika hata mkono tu basiiiiππππ!
Yani weeee nyuzi nyingine huko waezajiachia vyakutoshaaa kuanzia mention vituko sijui makapu mahusiano ila selfika tu huwezi subutuπππππ€π€π€π!
Whyyyy kwaniniiiii???????!! ( In mackReganvoice)