Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani mameni wote walikua wanakuhanya

Wameshindwa kujilipua kama chino.

Acha kuwapiga spana wenzio hahaha
 
Yani mameni wote walikua wanakuhanya

Wameshindwa kujilipua kama chino.

Acha kuwapiga spana wenzio hahaha
Mamen walikua machawa 😹😹
Ila bongo kuna vituko sana..!!

Nimewanywesha mbwa wale jana, halafu nilikua natumia card 🀣
Nikitulia niangalie salio, siendi tena pale watanikariri..!!
 
Mamen walikua machawa 😹😹
Ila bongo kuna vituko sana..!!

Nimewanywesha mbwa wale jana, halafu nilikua natumia card 🀣
Nikitulia niangalie salio, siendi tena pale watanikariri..!!
watoto wa kkoo punguzeni kutufokea.
 
Naziona dalili za wewe kumchezea chiino na kumuacha

Pls usifanye hivyo
Yani Sumbai huoni km chino ananichezea ila umeona mimi ndo namchezea kweli? 😹😹

Muulize kwanza siku zote alikua wapi?
 
Hapa akili ya kikinga imenirudia pesa inaniuma 😹😹😹

Hivi wanaume mnahongaje?
Mpewe maua yenu, kumpa mtu pesa ambayo hakudai ni kipengele aiseee.!! 🀣
Kuna level ukifika kuhonga ni sifa.

Na Ili usiumie zaidi.
Unawarushia wazee kwanza nyumbani hasa mama.

Hapa hata nikitumia Huwa najipa moyo si hata kipenzi changu mama ka okota kidogo Mimi kama Mimi hua inanipunguzia majuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…