Thubutuu..!!'nitukukaribisha muno' ndio tafsiri yake.
Hahaha! Ndio mana chino Bado sijajipata. masharti ya kutafuna dada siyawezi.
Sehemu zote Usha flashig.Thubutuu..!!
Mi sio mtoto ๐น๐น
Wewe na dadaako iko jambo..!!
Ndiomana wifi kisebengo kumbe mnanichiti wajinga nyie..!! ๐คฃ
Nipe namb yakeDr. Mariposa nikuchekeshe ๐น๐น
Jana nilienda live band, sasa bana mizuka nikajikuta natunza napaishwa pale Le madame bosslady Lamomy..!!
Ghafla nikapata machawa, saa ngapi nisimtongoze demu mmoja ๐คฃ๐คฃ
Nikapiga na vitraco vyake akajua mi lesbian, acha anigande ๐คฃ๐คฃ
Nyie mipombe sio mizuri unaweza kufanya vitu vya ajabu halafu ukajuta ๐น๐น
sumbai nipeleke jicho la tatu kwa chief.Dr. Mariposa nikuchekeshe ๐น๐น
Jana nilienda live band, sasa bana mizuka nikajikuta natunza napaishwa pale Le madame bosslady Lamomy..!!
Ghafla nikapata machawa, saa ngapi nisimtongoze demu mmoja ๐คฃ๐คฃ
Nikapiga na vitraco vyake akajua mi lesbian, acha anigande ๐คฃ๐คฃ
Nyie mipombe sio mizuri unaweza kufanya vitu vya ajabu halafu ukajuta ๐น๐น
Nimefuta nilimwambia ntakucheck ๐น๐นNipe namb yake
Ahahah nenda kwenye recently deletedNimefuta nilimwambia ntakucheck ๐น๐น
Pesa plus pombe ni ushetani, ujue nimeamka ndo najiuliza hivi nilikua naenda kufanya nini??
Wanataka kunyegezana eti ๐ฅ๐ฅน
Huo utetezi sijaukubali ๐น
Situmii android ๐นAhahah nenda kwenye recently deleted
HahahaPesa plus pombe ni ushetani, ujue nimeamka ndo najiuliza hivi nilikua naenda kufanya nini??
Halafu yule demu ananiletea mapozi kabisa, sa ningemfanya nini jamani?!! ๐น๐น๐น
Yeye mwenyewe alishangaa demu km mimi wa kukimbiliwa na mamen namfata yeye. Pombe hizi lol..!!
Usiwe na wasiwasi mamaaaaWanataka kunyegezana eti ๐ฅ๐ฅน
๐น๐น๐น Unajua walikua wananipa sifa za kijinga na mimi nikajikuta hakuna mwanaume wa kunimudu nikajikuta naweza kufanya lolote ndo nikamchombeza huyo demu..!!!Hahaha
Usiniambie ulimbambia kisawa sawa
Nawe ukawa unamgeuza geuza. Unamkadiria.
Lini unanipeleka kwa chief?
Hata nikizipata chino ntaanzia kukukimbia wapi mtoto ulivyosimamia ukucha
Mi chino simuelewi anataka kuchezea usichana wangu tu ๐ฅ๐น๐นUsiwe na wasiwasi mamaaaa
Huyu ni wako tuu.