Nakula bata mpaka nawoneea huruma wengine ππππππSawa jilipue tu, siyo shida zako π π π
Kidevu cha kupasukaπππ
Mambo kama minKidevu cha kupasukaπππ
Tutashindwa kulala wengine duuh
Nasumbuliwa na kwi kwi tu nikinywa badhi ya biaMambo kama min
Onhoo sawa bado hujafika bia ya 10? Maana ulisema nisicheze mbali nyumbani unga Robo ππIle ile picha nimeongeaza sura kidogo tuView attachment 3411384
Ooooh pole achana nazoNasumbuliwa na kwi kwi tu nikinywa badhi ya bia
Kula maisha Mangi!Nakula bata mpaka nawoneea huruma wengine ππππππ
Kwi kwi inanisunbua chikaπ€ mpaka majirani zangu walitaka ita policeOnhoo sawa bado hujafika bia ya 10? Maana ulisema nisicheze mbali nyumbani unga Robo ππ
Polee sana Shida ni nini? Si wanasemaga ukinywa maji yanasaidia kukata kwikwi hebu jaribuKwi kwi inanisunbua chikaπ€ mpaka majirani zangu walitaka ita police
Daah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia piaImenikamatq mpaka sasa , nashindwa hata kuendesha gari nimesimama tu kwa kichakaπ
NgojaDaah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia pia
Aisee π hakuna mtu karibu anaweza kukusaidia?Naipiga mpaka nakosa pumzi
Naona imepungua kidogoDaah! Polee sana jaribu kubana pumzi kwa dk kadhaa huwa inasaidia pia
Fanya hivyo tena hata mara 3Naona imepungua kidogo
pole chukua mfuko au bahasha ufanye kupumua ndani yake au uvute pumziii alafu uvute pumzi alf uibane kwa second kadhaa.Imenikamatq mpaka sasa , nashindwa hata kuendesha gari nimesimama tu kwa kichakaπ