Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo Mkuu, nilikuwa hapo

Vipi nawe ulikuwa around nini?

Jicho langu muda wote lilikuwa Kwa yule mtu wa popcorn 😜
🀣🀣🀣 Tulia mkuu...wengine tulikuja wenyewe sikuwa na mbeba purse 🀣🀣
Popcorn siku hizi ni mkakati mwingine kuwa makini πŸ˜„
 
Wabheja sanaaa🀩🀩🀩🀩🀩🀩.. Mara moja moja unajilipua tu naked who cares???!!!πŸ’πŸ’πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜Š!

Afu hapo ni mambele eeh!! Au ushamba wangu tu😊

Hakika naenda kuraraa vizuriiiiii kabesa

Santo sana
 
Nakula zangu tu bia wajinga wajinga na wazoom tu au nipete naked kabisa ? Gademiiit πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…