πππ now wamejaa mary akiniona kesho ata anzisha uziFanya kupita tena kama upepo nipoe maana nimeona vumbi tu
Daah kwa kweli kausha tu ππππ now wamejaa mary akiniona kesho ata anzisha uzi
Kesho mchan pakitulia niiteDaah kwa kweli kausha tu π
π si unajionea mwenyewe watu wapo kama mia hivi
Sawa usijali πKesho mchan pakitulia niite
Nani akuanzishie Uzi we domozege,kutongoza hujui unabaki unachambana na mwanamke,Acha kujipa umuhimu πππππ now wamejaa mary akiniona kesho ata anzisha uzi
Nan huyo kakutana na mimi injinia naenda site ππUmepita kwa da Marry lakini? πΉπΉ
Kakiwasha huko kuna mwana JF kakutana naye kwenye kibegi kuna pima maji na mwiko..!! π€£
Nisamehe mimi ππNani akuanzishie Uzi we domozege,kutongoza hujui unabaki unachambana na mwanamke,Acha kujipa umuhimu ππ
Tufanye kesho mchana nitakuitaPita nakusubiria π
Hapo sawaTufanye kesho mchana nitakuita
Ngoja nikalale tu πΆπΌββοΈHapo sawa
Kumbe nawe ulikwepo?Haa! Nilikuwepo hapo mzee mwenzangu π€£π€£
Nilivaa chachacha za mwaka 47 π
Nilikuwa nakunywa Wine π·, si unajua ni nzuri Kwa sisi Wazee π€Babu unakunywa nini? π