Umeamka na kichupa kimejaa unatafuta pa kukimwaga sasa..!! πΉπΉTulia wewe, kipi cha ajabu hapo, tunapelekea ulimi π , nini kupitisha jicho.
Hausimangwi buana, we tupia tu ππΉπΉπΉ Naweka tulia kwanza..!!
Tatizo mi kabaya jamani mtanisimanga nikufweee bure..!!
Na huo mshape wako si mtanifunika bi harusi sasa..!! πΉπΉπΉNgoja nifuatilieπ
πΉπΉπΉ Mi wa kwanza kukuomba hivyo anza Wewe mimi nifate..!!πukianza naweza kufikiria kupita kama upepo
Thubutuuu!! Wametulia wanasubiri kwa hamu wanichambue km ligi ya EPL πΉπΉSiyo kweli bhana
Basi tughairi tu π, maana uzi upo moto balaaπΉπΉπΉ Mi wa kwanza kukuomba hivyo anza Wewe mimi nifate..!!
Nilivyo na maadui wengi sasa wanasubiri nitupie wanichambe wohiii..!! π€£
π π π kumbe mlikua mnatu zoom tuHivi unajua weee ndo umezingua kuprolong maongezi mfyyyuuuuuu!!!π€¨π€¨.She was about to π€³ kabisa dah!
Nimeskip ratiba hivihivi mimiii!!πππ
ππ ni shwaa then unadeleteThubutuuu!! Wametulia wanasubiri kwa hamu wanichambue km ligi ya EPL πΉπΉ
Basi wako maji walipima kwa viwango, mi naona aliyetumwa kumwagia maji alizidisha kipimo ukawa uji..!! πΉπΉπΉUdongo huo huo ulioumbiwa wewe mahii mzuri mzuri π π₯°
HahahahahaDomo tu, vitendo aahh..!! πΉπΉ
ππ hatari haikuwa bahati yako leoHivi unajua weee ndo umezingua kuprolong maongezi mfyyyuuuuuu!!!π€¨π€¨.She was about to π€³ kabisa dah!
Nimeskip ratiba hivihivi mimiii!!πππ
πΉπΉπΉ Waungwa nawajua wananisuburi wanisulubu..!!Hausimangwi buana, we tupia tu π
Na sisi tulishtuka mapema πππ π π kumbe mlikua mnatu zoom tu
Hahahahaha kumbeMi nlimuona ππni bwanamdogo flan hivi ambaye umri na muonekano havina uhusiano
Kabisa uzi uli trendπNa sisi tulishtuka mapema ππ
πππ na bado upo kwenye trendKabisa uzi uli trendπ
Sijui kwanini waliondoa kujua wangapi wanafuatiliaππππ na bado upo kwenye trend
ππ usikute kulikuwa na pipo kama 60 zinatuzoom tuSijui kwanini waliondoa kujua wangapi wanafuatiliaπ
πΉπΉπΉ hamna we tupiaBasi tughairi tu π, maana uzi upo moto balaa