Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Aaanhaaa sawa, mimi siyo mlevi π€£π€Mimi naharibu kila mda ila walevi tunaomba msahama pombe ikikata then tunakula vitu kama kawa ππππ
Nyie ni watu wa maana mno namisi hili vibe mnoπ€«
Acha hizo tule pombe , mimi mwanamke ambae hatumii pombe namwona mlokole tuAaanhaaa sawa, mimi siyo mlevi π€£π€
Mishale ya Apocalypto imekosa chura wa sumu tu πKisa umeona toothpickπ
Sawa, nikuombee mapepo ya wapi yakutoke?Acha hizo tule pombe , mimi mwanamke ambae hatumii pombe namwona mlokole tu
Si utaharibu, tuanze kukuangalia tofauti ukileta recipes mpya!Kwanini tena ma mtu
Pombe tamu sana ila viwanja classic vya kula pombe ni arusha tu dar uwongoπ€πππ
View attachment 3403346
Halafu mnywa vyoda anywa vya afu tatu tu unafiki anaachaje sasa inabidi awe kwenye uangalizi π€£Usimwache mnywa vyoda akae bar mpaka sa sita usiku , huwa wana mwanya wa umbea na unafki hasa pale unapo agiza pombe za 2mil za kitanzania ili kila mtu apateπ€
Hekima zake hujaziona bado πAhahh au sio
Binti wa zamani sihitaji maombi ujue mimi ni mangi mtamu mda wote nafanya ninacho takaπSawa, nikuombee mapepo ya wapi yakutoke?
Wapumbavu sana , hawa kenge kuna mmoja alisema nashinda jf mshahara wake sijui hata una hali ganiπ€Halafu mnywa vyoda anywa vya afu tatu tu unafiki anaachaje sasa inabidi awe kwenye uangalizi π€£
Mimi nimesoma βMangi mtamuβ tu hayo mengine sijaona.Binti wa zamani sihitaji maombi ujue mimi ni mangi mtamu mda wote nafanya ninacho takaπ
Usitoke mdada mzuriMimi nimesoma βMangi mtamuβ tu hayo mengine sijaona.
Anyway, ngoja nitoke humu kabla sijasababisha irrevocable damage ππ
Si mmesema niwe nakunya pombe auMishale ya Apocalypto imekosa chura wa sumu tu π
Na kuna dumu la kizungu π€£π€£
Kaka unakula bata kinouma ππππ
View attachment 3403346
apana bhna ilo haliwez tokeaSi utaharibu, tuanze kukuangalia tofauti ukileta recipes mpya!
Nasikia mabinti wa huko wazuri mnoNiko Burundi