Hii Smirnoff yenye ladha ya chungwa siielewi nakunywa kichwani sichachamki
Kiwanja cha mwisho kwa leo.... View attachment 1284049
Legit or nah?
Yani ugonge Alc 63 afu wine ya 17/13. Ikushinde 🙄Mkuu wewe haya maji ya yaliyobarikiwa unakandamiza yoyote Au pia unachagua aina flani mimi
Ukitoa yake maji mekundu (wine) zingine zote nakandamiza hata yenye alcohol 63 [emoji23]
Umeamkaje RafikiYani ugonge Alc 63 afu wine ya 17/13. Ikushinde [emoji849]
Salama, vipi wewe?Umeamkaje Rafiki
Salama, vipi wewe?Umeamkaje Rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nilitest mixer ya banana featuring milk stout na nyagi
Ni rahisi kusema.weee huo ni mziki mwingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi niliwahi pigisha collabo Saint Anna, Dompo, K Vant na Konyagi..
Fanya kama hujaziona anza na last page
Safi kabisa, umeamkaje Rafiki naona mapema, maandalizi ya jumuia? au joggingSalama, vipi wewe?
Miss u