Nipasie buku no ni ile ileππNimekoma, nikiona nyuzi za watu wenye shida napita kuleee
Sitaki watu wa abroad wanione πKwamba mimi sipaswi kukaona?
Washakuotea weweπNimekoma, nikiona nyuzi za watu wenye shida napita kuleee
Good morning nn wewe embu selfika huko acha uvivuWashakuotea weweπ
Good morning
My kaka, nimeyavaa πππ€£π€£Washakuotea weweπ
Good morning
Upo hapa leoWashakuotea weweπ
Good morning
Kumbe huyu yuko abroad, ndiyo maana kakaa kidhungu dhungu πSitaki watu wa abroad wanione π
Nilishatupia kitambo humu πGood morning nn wewe embu selfika huko acha uvivu
Ndio yupo abroad huko kwao ni usku ukiona kimya ujue kalalaπKumbe huyu yuko abroad, ndiyo maana kakaa kidhungu dhungu π
Ili muendelee kunichora, thubutuuuuuuuuuuuuuu πNipasie buku no ni ile ileππ
Amna mwambie wakala paulooπ€£π€£Ili muendelee kunichora, thubutuuuuuuuuuuuuuu π
Atupie basi kaselfie tupaone na Ulaya tuoshe macho π€£!Ndio yupo abroad huko kwao ni usku ukiona kimya ujue kalalaπ
Pole vitu vingine tufate tukushauri au unahofia ile tshirt ya mbogamboga niliyovaa π€£π€£My kaka, nimeyavaa πππ€£π€£
Acha tu, wala sihofii, nitakua nakuja kupata ushauri maana hili la leo kubwa kuliko πPole vitu vingine tufate tukushauri au unahofia ile tshirt ya mbogamboga niliyovaa π€£π€£
nataka niselfike dereva kaweka gear ya 3 gari imeruka zoezi la selfika limekufa π€£π€£Upo hapa leo
Wanakukuza kwa shida π€£π€£Acha tu, wala sihofii, nitakua nakuja kupata ushauri maana hili la leo kubwa kuliko π