kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,944 Reaction score 10,540 Feb 1, 2025 #397,381 Genius Man said: mimi najua nyinyi na Bantu Lady ni marafiki tu mkuu Click to expand... kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini?
Genius Man said: mimi najua nyinyi na Bantu Lady ni marafiki tu mkuu Click to expand... kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini?
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,944 Reaction score 10,540 Feb 1, 2025 #397,382 Bantu Lady said: Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? π π π π π π Click to expand... Em mwache hadi week ipite tuone, kama atakata roho tutajua kweli hawezi ishi bila wewe.π
Bantu Lady said: Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? π π π π π π Click to expand... Em mwache hadi week ipite tuone, kama atakata roho tutajua kweli hawezi ishi bila wewe.π
Roboti Wa Nape JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,650 Reaction score 3,817 Feb 1, 2025 #397,383 Nami sifuti. Mtoto mdogo mwenye pesa mingi. Nyie maskini wa JF tafuteni pesa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,384 Fortnox said: hAtuna kesi za kutakatisha fedha Click to expand... Nyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa. Naomba niwekee ulanzi dumla 2 nipite kunywa.
Fortnox said: hAtuna kesi za kutakatisha fedha Click to expand... Nyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa. Naomba niwekee ulanzi dumla 2 nipite kunywa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,385 Bantu Lady said: Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? Click to expand... Nimekumic mnoo BL.
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Feb 1, 2025 #397,386 cocastic said: Nyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa. Naomba niwekee ulanzi dumla 2 nipite kunywa. Click to expand... Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bata
cocastic said: Nyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa. Naomba niwekee ulanzi dumla 2 nipite kunywa. Click to expand... Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bata
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Feb 1, 2025 #397,387 cocastic said: Nimekumic mnoo BL. Click to expand... Miss u more luv π₯°π₯°π₯°π₯°π₯° umepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana.
cocastic said: Nimekumic mnoo BL. Click to expand... Miss u more luv π₯°π₯°π₯°π₯°π₯° umepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,388 Bantu Lady said: Miss u more luv umepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana. Click to expand... Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu. Nimekumic mnoo luv,
Bantu Lady said: Miss u more luv umepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana. Click to expand... Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu. Nimekumic mnoo luv,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,389 Fortnox said: Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bata Click to expand... Si utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo? Ila ulanzii mtamuu.
Fortnox said: Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bata Click to expand... Si utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo? Ila ulanzii mtamuu.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Feb 1, 2025 #397,390 cocastic said: Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu. Nimekumic mnoo luv, Click to expand... Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi β€οΈ
cocastic said: Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu. Nimekumic mnoo luv, Click to expand... Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi β€οΈ
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Feb 1, 2025 #397,391 cocastic said: Si utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo? Ila ulanzii mtamuu. Click to expand... uHakika lazima uipige fimbo
cocastic said: Si utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo? Ila ulanzii mtamuu. Click to expand... uHakika lazima uipige fimbo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Feb 1, 2025 #397,392 Mko wapi jioni hii ya Leo, aliye karibu na Kawe beach kwenye Samaki,akaribie Kuna kadhaa za maongezi
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,393 Bantu Lady said: Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi Click to expand... JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo. Mazoea ndo yanaturudisha luv.
Bantu Lady said: Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi Click to expand... JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo. Mazoea ndo yanaturudisha luv.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,394 Fortnox said: uHakika lazima uipige fimbo Click to expand... Hapo sasa ndo penyewe, kunyoosha goti muhimu. V8 Idumu milele.
Fortnox said: uHakika lazima uipige fimbo Click to expand... Hapo sasa ndo penyewe, kunyoosha goti muhimu. V8 Idumu milele.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Feb 1, 2025 #397,395 cocastic said: JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo. Mazoea ndo yanaturudisha luv. Click to expand... Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja.
cocastic said: JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo. Mazoea ndo yanaturudisha luv. Click to expand... Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Feb 1, 2025 #397,396 Bantu Lady said: Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja. Click to expand... Hahahaha
Bantu Lady said: Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja. Click to expand... Hahahaha
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Feb 1, 2025 #397,397 Bantu Lady said: Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja. Click to expand... Yaan JF imepoteza mvuto kabisa, mambo yako vululu vululu. Tafrani tupuu,
Bantu Lady said: Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja. Click to expand... Yaan JF imepoteza mvuto kabisa, mambo yako vululu vululu. Tafrani tupuu,
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,559 Reaction score 7,919 Feb 1, 2025 #397,398 kikiboxer said: kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini? Click to expand... nyie ni marafiki tu mkuu au utaki nipate ubavu wangu
kikiboxer said: kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini? Click to expand... nyie ni marafiki tu mkuu au utaki nipate ubavu wangu
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,559 Reaction score 7,919 Feb 1, 2025 #397,399 Bantu Lady said: Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? π π π π π π Click to expand... ndiyo hivyo wewe ndio pumzi yangu
Bantu Lady said: Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? π π π π π π Click to expand... ndiyo hivyo wewe ndio pumzi yangu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Feb 4, 2025 #397,400 Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI