Mkuu kwamba kipimo cha neno kuwa sahihi ni kutumiwa na watu wengi siyo, toka enzi na enzi inajulikana neno sahihi ni "halafu" halafu wewe unasema eti siyo sahihi kisa linatumika na watu wachache, kwani hujui kwamba watanzania wengi huwa wana shida kwenye kuandika hasa kupenda kufupisha maneno