min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,262
- 127,130
Kuna siku nililewa nikawa nachati humu , asubuh yake nikawa napita nafuta tu😆😆😆😆😆Duh hiyo hatari
Ndiyo maana watu husema Siri ni ya watu wawili, lakini inategemeana na unayempa Siri yenyewe
Imagine unampa Siri min -me akiwa na beer ya pili, akifikisha beer ya 8 anaiweka hadharani 😜