mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,927
kwa hii minywele kama sokweSema huna mguu 😂😂😂
kwa hii minywele kama sokweSema huna mguu 😂😂😂
Ahahahh shida yako wewe chotara wa kisomalikwa hii minywele kama sokwe
Ila Mwachi 😹😹😹Sio kila siku kuvaa suruali ndefu mda mwingine vaa pensi miguu ipitie hewa min -me Zulu man De Opera MENEMENE TEKERI NA PERESI mshamba_hachekwi Half american View attachment 3197637
Hili toto linaonekana piga chabo sio kwa mijicho hiyo 😹😹😹
Naonaga watu wanapiga wanavaa hivi nikajiapiza lazima nipigie popote pale 😂😂😂Ila Mwachi 😹😹😹
Vincenzo Jr na mkitambi wako hebu na wewe tupia pic km ya Mwachi tuone 🤣
Hebu weka tuone km kweli 😹kwa hii minywele kama sokwe
Nyoka anajificha nakwambia 😂😂Hebu weka tuone km kweli 😹
Safi kijanaSio kila siku kuvaa suruali ndefu mda mwingine vaa pensi miguu ipitie hewa min -me Zulu man De Opera MENEMENE TEKERI NA PERESI mshamba_hachekwi Half american View attachment 3197637
Ila mna ujasiri, mi mwanaume akivaa hivyo sijui namuonaje aiseee 😹😹😹Naonaga watu wanapiga wanavaa hivi nikajiapiza lazima nipigie popote pale 😂😂😂
Embu leo tuselfike ni mwaka mpya watu hatuja selfika mm nimeanzaSafi kijana
😹😹😹 King KongNyoka anajificha nakwambia 😂😂
Wakaka wa mjini wa makumbusho wana tuharibu tunaona hatuendi na wakati kwahy tuna kimbizana wakatIla mna ujasiri, mi mwanaume akivaa hivyo sijui namuonaje aiseee 😹😹😹
Mwambie aselfike c😹😹😹 King Kong
Nimetulia zangu tu hapa kijana.Embu leo tuselfike ni mwaka mpya watu hatuja selfika mm nimeanza
Ukimaliza izo utembei we mchaga na kwambia 😂😂Nimetulia zangu tu hapa kijana.
View attachment 3197649
Kazi mnayo, hivyo vinjunga kwakweli mnajitahidi.!! 😹Wakaka wa mjini wa makumbusho wana tuharibu tunaona hatuendi na wakati kwahy tuna kimbizana wakat
Lite with bite 😋Nimetulia zangu tu hapa kijana.
View attachment 3197649
Ila sina ujasiri wakutembea nacho hadharaniKazi mnayo, hivyo vinjunga kwakweli mnajitahidi.!! 😹
Safi sana huyu ndio roli modo wangu ,ni vikombe tu tena sebuleni.Nimetulia zangu tu hapa kijana.
View attachment 3197649