Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣 Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine 😫, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
 
🀣🀣🀣 Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine 😫, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
😹😹😹 shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P πŸ€£πŸ‘Œ

Shoga tutasutwa kabla mwaka haujapinduka eeehiyaaaa πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ we huogopi?? 😹
 
kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu 🀣🀣

Vimeiva nije kula? πŸ˜œπŸ˜‹
 
Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu 🀣🀣

Vimeiva nije kula? πŸ˜œπŸ˜‹
Happy new year mmbea mwenzangu 🀣🀣

ndo vimeiva hapa tunakula karibu 🀀🀀
 
Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu Mahondaw

Mkuu Smart911 yupo wapi Mahondaw
 
Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu Mahondaw

Mkuu Smart911 yupo wapi Mahondaw
Bado jiti la jana nilokuchoma linakuuma chogo 😹😹

Muulize kwenye huo ugomvi kilichomkuta baada ya hapo JF ilisimama kwa muda…!!

Sasa nakutuma wewe jitahidi muite muungane uone nitakachowafanya..!! 🀣🀣
Wewe tumbo tumbo acha tabia za kina Agrey utumbo utaoza huo.!!

Mwenzio niko full charge nitakupandisha sukari utapike kiporo ulichokula 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…