Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,786 Dec 19, 2024 Thread starter #396,921
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,786 Dec 19, 2024 Thread starter #396,922
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 19, 2024 #396,923 Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,096 Dec 19, 2024 #396,924 Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... asante kaka, huu ni mlo gani wa usiku mbona kama vitafunio...
Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... asante kaka, huu ni mlo gani wa usiku mbona kama vitafunio...
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Dec 19, 2024 #396,925 Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... Shukrani kijana,hauko na ugali mgumu hapo? Nataka kukaribishwa ugali
Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... Shukrani kijana,hauko na ugali mgumu hapo? Nataka kukaribishwa ugali
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Dec 19, 2024 #396,926
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 19, 2024 #396,927 mshamba_hachekwi said: asante kaka, huu ni mlo gani wa usiku mbona kama vitafunio... Click to expand... Bagia na mtindi
mshamba_hachekwi said: asante kaka, huu ni mlo gani wa usiku mbona kama vitafunio... Click to expand... Bagia na mtindi
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 19, 2024 #396,928 Zulu man said: Shukrani kijana,hauko na ugali mgumu hapo? Nataka kukaribishwa ugali Click to expand... Usiku usile ugali kula vyakula lain matunda au vitafunwa
Zulu man said: Shukrani kijana,hauko na ugali mgumu hapo? Nataka kukaribishwa ugali Click to expand... Usiku usile ugali kula vyakula lain matunda au vitafunwa
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Dec 19, 2024 #396,929 Mwachiluwi said: Usiku usile ugali kula vyakula lain matunda au vitafunwa Click to expand... Aaah nilisahau kumbe ni usiku π€£
Mwachiluwi said: Usiku usile ugali kula vyakula lain matunda au vitafunwa Click to expand... Aaah nilisahau kumbe ni usiku π€£
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 19, 2024 #396,930 Zulu man said: Aaah nilisahau kumbe ni usiku π€£ Click to expand... Kabisa
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,096 Dec 19, 2024 #396,931 Vincenzo Jr said: View attachment 3180478 Click to expand... boss kubwa
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Dec 19, 2024 #396,932 Mwachiluwi said: Kabisa Click to expand... Sawa,namuangalia bibi yako hapa ....hakika ni mrembo haswaaaaa!!!
Mwachiluwi said: Kabisa Click to expand... Sawa,namuangalia bibi yako hapa ....hakika ni mrembo haswaaaaa!!!
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Dec 19, 2024 #396,933 mshamba_hachekwi said: boss kubwa Click to expand... Nambie kaka
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Dec 19, 2024 #396,934
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,708 Dec 20, 2024 #396,935 Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... Kwa msosi huo, sioni mkitoboa kuzalisha watoto wengi kama Wazee wenu hapa π Kwema lakini? π€
Mwachiluwi said: Karibuni mlo wa usiku uhuu Grahams Zulu man De Opera mshamba_hachekwi View attachment 3180439 Click to expand... Kwa msosi huo, sioni mkitoboa kuzalisha watoto wengi kama Wazee wenu hapa π Kwema lakini? π€
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 20, 2024 #396,936 Zulu man said: Sawa,namuangalia bibi yako hapa ....hakika ni mrembo haswaaaaa!!! Click to expand... Ana zeeka na urembo wake et
Zulu man said: Sawa,namuangalia bibi yako hapa ....hakika ni mrembo haswaaaaa!!! Click to expand... Ana zeeka na urembo wake et
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 20, 2024 #396,937 Grahams said: Kwa msosi huo, sioni mkitoboa kuzalisha watoto wengi kama Wazee wenu hapa π Kwema lakini? π€ Click to expand... Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba
Grahams said: Kwa msosi huo, sioni mkitoboa kuzalisha watoto wengi kama Wazee wenu hapa π Kwema lakini? π€ Click to expand... Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Dec 20, 2024 #396,938 Mwachiluwi said: Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba Click to expand... Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili
Mwachiluwi said: Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba Click to expand... Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 20, 2024 #396,939 Zulu man said: Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili Click to expand... Ahahah sasa achana na makando kando hayo π€£
Zulu man said: Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili Click to expand... Ahahah sasa achana na makando kando hayo π€£
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,708 Dec 20, 2024 #396,940 Mwachiluwi said: Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba Click to expand... Kumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku? Mchana na usiku lazima ule chakula cha kushiba Hujui lile tendo la kuleta watoto Duniani, linatuhitaji Wanaume tuwe na nguvu za kutosha
Mwachiluwi said: Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba Click to expand... Kumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku? Mchana na usiku lazima ule chakula cha kushiba Hujui lile tendo la kuleta watoto Duniani, linatuhitaji Wanaume tuwe na nguvu za kutosha