Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi saana mkuu.
Kimsimgi uwekezaji kwenye real estate ni WA uhakika na huwa haushuki thamani. Vile vile hauna Ile pressure ya usimamizi.

Umri ukishaenda, inakuwa unavuta pesa kiulaini tuu za Ku spend na watoto WA 2020
 
Hao wa 2020 ndiyo watakuwa na nafuu kuliko wale wa 2000, maana Sina hamu nao wale 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…