Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi mkuuu. Uwe unaweka summary kidogo humu. Kuwasaidia wenye alreagy yakusoma Kama wakina Aaliyyah
Hahaha..........nitajitahidi kufanya hivyo next time, lakini Kwa summary. Mtunzi anatuasa kujenga tabia ya kuwekeza, iwe kwenye real estate ama vyovyote ili ku-generate personal income na kuwa financial Stable katika nyakati zetu za Uzee.

Last time niliulizwa na Vijana wangu swali lililoniboa, kwamba kwanini sikuwa na makazi Masaki

Ndiyo kisa cha kuwanunulia hicho Kitabu ili kujibia swali lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…