Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Selfika idumuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Muwe na Jioni njema wapendwa
 
Nenda mbeya carnival pale we mzee ukajiopolee mitoto ya kinyakyusa!
 
Fanya Jambo mnywani.
 
Yapo mengi ila naona upepo sasahivi upo huko.
Asilimia kubwa ya watu ni miili mikubwa mikubwa..
Mbeya siku hizi kuna joto sana hadi kero.

Kweli, saa3 tu kila mtu yupo kwake.
Ukitoka safari ikafika saa4 , utajua mwenyewe utapanda usafiri gani.. watu washalala hawataki tabu kabisa.
 
Mimi nimestaafu.

Labda mzee wangu Grahams angemuambia afande atuunganishe na afande mwenzake
Afande ni Afande Mkuu, hachelewi kukuagiza mwende safari 4 wakati huo umebaki na nguvu za kuishia safari 1 tu Kwa Mwezi 😜

Kwa Uzee huu, nawezea wapi hayo mamboπŸ€—

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Unajua Aaliyyah ni mpole saana.

Hivyo Kwa Leo kulivyo apumzike tuu Yule akisoma hapa anaweza kulia.

Ila kesho aandae juice ya tende... Asisamsahau babu Grahams kwenye juice
Juice ya tende nitaanza kunywa Siku Bibi yao akirudi kutoka huko Mjini, vinginevyo usiku utakuwa mrefu sana Mzee mwenzangu πŸ€—
 
Mzeee Yule Askari anataarifa umerudi nyanda za juu ?? Yuleeee afisaaa... Hope umemkumbuka
Tulikuwa tunaamini Wazee wa Umri wetu tumepoteza uwezo wa kumbukumbu, lakini Mzee mwenzangu wewe upo tofauti πŸ˜‚

Unakumbuka hadi tukio la Mwaka 47 πŸ˜œπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…