B money huwa mnafanyaje fanyaje mshale unakaa kwenye F?ππ
Ikija challenge ya E ntakuwa sina mpinzani, hali yangu ni mbaya mnooπ View attachment 3124638
Hamna ni kama ugonjwa kwangu, ikipungua hiko kimstari kinachofata, najikuta nimeenda. Na naweka kituo kimoja tu kwa miaka yote. Kwasababu linajaa kwa laki 2 na 10. So kila wiki najazia kwa laki kwa hii. Usisubiri ishuke sana shemeji.
My Darling kikiboxer I miss you too, naona mention zako, sema kuna mambo yananiweka busy vibaya. But ni mambo, mazuri sana. Love you ππππππππ