Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha...kimbilia the other direction mkuu huko unaenda unakuja mahali nipo na Sakayo
Nitavunga mkuu, nitajifanya sijawaona huku nikirukaruka kwa furaha, hakuna raha kama siku ile naulizwa, "Nani anamtoa Sakayo kuolewa na Watu8[emoji125][emoji125][emoji125] ", nami najibu kwa bashasha kabisa na suti yangu ya kuazima[emoji23][emoji23][emoji125]
 
Hahaha...

Unajua imagination is nothing if it aint real...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…