Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kikoπŸ˜€
Nimekula chumvi nyingi ujue, hadi Mvi zimeamua kujenga urafiki na Mimi 😜

Ukifika Dukani waoneshe hii picha hapa Chini, waambie Babu yangu anaomba hiki kifaa cha kuvutia tumbaku πŸ€—
 
Wazee wa kufukua makaburi

Umedhamiria kumchanganya mzee Grahams mkuu.

Acha babu aitafute pepo
Hahaha..........na nilivyo busy Siku hizi kuitafuta pepo, useme macho tu yananiangusha kutaka kuangalia Kila mali safi ipitayo barabarani

Last time nilikimbizwa hospitali Kwa maumivu ya shingo yaliyotokana na kugeuza shingo mara Kwa mara kuangalia hao mabinti wa Mwaka 2000 hapo geti la Mlimani city πŸ™Œ
 
Mda wote utakuwa unapika tu navyomjua mzee wa hall v.

Hio ni mashine
Record zake kuna sehemu zimetunzwa na hazijavunjwa
🀣🀣🀣🀣

Yule mama kifusi alituzoesha vibaya saana.
 
Hawa watoto wa 2000 kwako si vilembwe hawa mzee.

Haha wazee wa sasa hivi mi nilidhani utaishia kwenye 199s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…