Selfika na JF: Snap it. Show it

Kule hata ukitema facts unapopolewa! Bora uje kwa kina chino ucheke na kuongeza siku.
 
Uzeee ni daawa
 
Hahaha........kweli unanyota na wastaafu

Lakini sio unawapenda kwakuwa hawajui kukamia pambano kweli 😜

Haya nidipu basi Mjukuu, hapa nilipo naona mtandao unashika 🤸🤸
 
Hahaha........kweli unanyota na wastaafu

Lakini sio unawapenda kwakuwa hawajui kukamia pambano kweli 😜

Haya nidipu basi Mjukuu, hapa nilipo naona mtandao unashika 🤸🤸
Hapana umenikumbusha mapito mengi,, hilo tukio la club ndipo nilijua nilivyo na bahati nao

Kutokamia show nayo ni moja ya faida yenu wazee🤣🤣🤣 mapenzi starehe sio mapambano
 
Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 🤗

Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu 👊🙌
Miaka mitatu si wanasema bado bado kichwa kisikomae au ni Imani tuu huku mtaani kjjn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…