Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Nambie dada yangu upo gudi ?Vincenzo Jr kaka angu
Niko poa kabisaNambie dada yangu upo gudi ?
π₯π₯π₯π₯π₯
Ok wasalimie uko mwanzaNiko poa kabisa
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Salamu zitafikaOk wasalimie uko mwanza
Mwanza hatoki fala wote viwembeπ₯π₯π₯
Mim msukuma mshamba kabisa πππ³Mwanza hatoki fala wote viwembe
π€£π€£Hizi bluetick za safari hii zinaverify wagonjwa wa akili
πAisee
...kila mmoja awe shahidi wa mwenzake.Watutongoze na tuwakatae hapa hapa nani anataka kukaushwa mate!π€ͺ
Kwani nyie ndo watoaji pesa?πππ
Mkifunga piem mtapataje ela??
ππππππKwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchosheπ
Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madiliπππ
We si ndo umesema?ππππππ
Wanaume wanaofunga piem wanaogopa kusumbuliwa na wanaume wenzao. Hahah inshort sio wenzetu
Hivi wapo kweli??
ππππEty eeehHapana...
Chassis bado nzima....
Kilometer chache saana