Nakuelewa, nilikua narejea post yako umesema huu uzi umejaa Utoto mwingi sana. Hata hivyo usikonde Mkuu, hapa ni sehem ya kutoa stress baada ya pirikapirika za siku nzima.
Tunashangwe hadi linamwagika, upendo na ucheshi mwingi sana.
Jf natumia email ya miaka 47 huko nadhani ni email ya smartphone Yangu ya kwanza huko hata sikumbuki password yake vipi haitohitaji password yahio email ili nisijisumbue??