Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa mazingira hayo ningejiweka kwa mwalimu, mi ni mtata kiaina ile wote kuvaa uniform kwangu tu inapoteza nafasi ya kukuheshimu🀣🀣,
 
Wazee mbona wanaijua kazi! Hao wa kufia kwenye kinena wana tabu zao tangu wakiwa vijana
 
sumbai anasinzia sana ndio mana vimwana wa hall 3 walikua wakimpita ntamwakilisha

Wakora waitu mnywani
Usinikumbushe kaka, kjjn wakati natoka waliniambia hao wote wanangoma. Yaan waotot wachuo wote wanangoma

Yaan, Yule MTU alinikosesha vyombo vya maaana saaana.

Juz Kati nilipita chuo pale nilikuta vitu vya maana nikatamani nirudi kuchomoa sup yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…