Hii ni mbege kweli?? Mbege ya ndizi au itakua ya miwa?? 😃😃😃😃😃😃 au wamejaza gongo mpk ika undergo chemical reaction mpya kabisa...unajua mm nikiendaga kule ukweni huwa sinywi kabisa...labda wanipe iliyotoka mbali napo nakunywa kikombe kidogo cha chai... ila hii siwezi gusa..

Huu ukurasa upo nao Sumbai, uko vizuri dogo🤣, ila mimi sio mkubwa...ni mzee sasa. Ila ikitokea nikapata katoto kama Kapeace wala sitavunga, uzee na dawa hata mzee mwenzangu Grahams analitambua hilo
Yan umenitamanisha Leo Nina mood ya mchemsho wa nyama na ndizi 😀
Hapa nishapita Kwa mzee ananiuziaga ndiz kasema ndio anaenda kuzifata shamba
Stay tune