Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna nini mrembo? Mbona kama mmedukuliwa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usijal yupo mzima wa afya kabisa, anazidi kuziongeza T zake tatu tu😁
Watruu na T tatru zaooooo auwweee😁😁😁😁😁😁😁!

Mie hapo T moja tu yani kitraaa kimegoma kupotea kabesaaa ndiokwanzaaaaaa kinaongezeka!
Mfikishie salamuuu
 
Watruu na T tatru zaooooo auwweee😁😁😁😁😁😁😁!

Mie hapo T moja tu yani kitraaa kimegoma kupotea kabesaaa ndiokwanzaaaaaa kinaongezeka!
Mfukishie salamuuu
Kabisa zimefika wala usijali shem wetuπŸ€—
 
Mwana simba , wakwetu umetumia nini asee juzi tena ephen ananiambia anakupenda 😁😁😁😁
Juzi mlikua mnapumulia mashinee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Walai mngetolewa ingekua aibuuuuu!

Kazeni kaliozz kwenye makundi msifumuliwe sasa😁🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…