Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante aisee
Bila wewe nisingeona.

@Kapeace😍😍😍πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mlikuwa wapi jamani aiseee
Ona chuma hili
🀣🀣🀣🀣

Kula chuma hicho mwamba
 
🀣🀣🀣kwahiyo mlipotea halafu mmerudi nyie watoto nyiee
Kumbe nikifungua Kwa
Aliyekuquote naona

Mnazidi kupika tu rekodi za watuπŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ”₯πŸ”₯
Dada mzuri uwiii
Hadi simu imepata nurβ™₯️😍😍😍

Aisee
Huyu Mungu
Nyie ndio mtakuwa wale wa udongo wa VIP hatariπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mpk asave kwanza ndio afute πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila unajipa hofu ya bure mahi, hata wakibaki nayo hakuna chenye watakufanya kwanza hawakujui wengi wapo mikoani simu wanachaji kwa solar 😹😹😹
Umejuaje...

Mimi huku uchindile mtandao unazingua kinoma

Picha zinakuja na kiza kiza...

Huko mjini kwema??
 
Mpk asave kwanza ndio afute πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila unajipa hofu ya bure mahi, hata wakibaki nayo hakuna chenye watakufanya kwanza hawakujui wengi wapo mikoani simu wanachaji kwa solar 😹😹😹
Wameisave watapeana huko mafichoni hiyo sio shida yangu, ila kwenye huu uzi itoke, halafu sasa mtu ajichanganye aje aitume kwingine atajua hajui
 
Wote tuseme Amen πŸ™

Haya mabinti sayuni tukalale tuwaachie lindo waebrania 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…