Unajua Odo nacheka, sijui haya maneno unayatoaga wapi jamani. Hakuna tena nimejipunguza, zimeisha kabisa. Siku nitakutumia TBT.
Wewe ulivyo vizuri vile, mshukuru Mungu kipenzi. Umemuona shemeji yako. Kanishtukiza na picha sikujiandaa π€£π€£π€£π€£π€£