Haiyyyaaaa hhaiiyaaaaaπ£οΈπ£οΈπ£οΈ min -meLoveloviespidernyoka nishavimbiwa zangu matoke y mixa dagaa karanga nyanyachungu na maharage humoohumoo na parachichi pembeni come pande hii muibles weekend yanguu nirare vizuriii wapendwaaa jana nilipitwaa na blessings zenyuuuu
Nimetingwa na familia na majukumu mengine rafikiiii!
Za masiku mingi??? Ushatoka Bk??
Nipo kwa Museveni kesho ntapita hapo naelekea Mwanza then Daslamu!