Nawaambia siku zote nyie kina dada acheni mazoea na huyu mkaanga chips mnachat utani tu anachukulia serious
Kwanza mnamtakaje huyo bonge lisilo na pesa ya vocha?
Poleni sana wanaume kama mabinti na sasa naona anamtagg dem fulani hv ipo siku atamuumbua,,
Muomba vocha anawasema wenzie wanamuomba vocha pyumbavu yeye na uk.. wake
Vincenzo Jr Mwenyezi Mungu akubariki Sana.....Ila usipende kuongea uongo ili upewe attention.....mi To yeye wa hivihivi....unichukie Usinichukie...mie ni wa hivihivi.....Sina cheo chochote Ila nimebarikiwa kuongea na kilamtu.....penye ubaya napakimbia Kama hivi nitakavyokukimbia.Asanteh
hela ya kununua pc huna afu kuwasemea pembeni,
maskini mkubwa ulikuwa unang'ang'ana na vocha na wanawake leo huu kumnanga mtu mzima, ?badilika kijana hata wanaowasili ana na wewe nje ya jamii forum wajitathimni
Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa
habari zako tunazooo,
Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa