Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,381 Reaction score 80,260 Aug 11, 2024 #389,081 and 100 others said: Noma sana mkuu... Click to expand... πππ€£π€£π€£π€£π€£πππππMwanetu kaupiga mwingi humo mzee wa kufuta
and 100 others said: Noma sana mkuu... Click to expand... πππ€£π€£π€£π€£π€£πππππMwanetu kaupiga mwingi humo mzee wa kufuta
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,082 Saint Anne said: Khaaa Nkamuπππππ Kwahiyo hii oda hutaki kabisa Kweli umekaza Sawa Nkamu π Weekend nitafanya hivyoπ₯π₯π₯ Click to expand... Ukiwa tayari utaniambia nikulipe
Saint Anne said: Khaaa Nkamuπππππ Kwahiyo hii oda hutaki kabisa Kweli umekaza Sawa Nkamu π Weekend nitafanya hivyoπ₯π₯π₯ Click to expand... Ukiwa tayari utaniambia nikulipe
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,710 Aug 11, 2024 #389,083 Vincenzo Jr said: Hii ndio ile inatoaga mrenda kama bamia Click to expand... Hapana, hii iko kawaida tu Halafu sio chungu wala nini
Vincenzo Jr said: Hii ndio ile inatoaga mrenda kama bamia Click to expand... Hapana, hii iko kawaida tu Halafu sio chungu wala nini
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,825 Reaction score 233,258 Aug 11, 2024 #389,084 Lamomy said: Ukiwa tayari utaniambia nikulipe Click to expand... πππππππ Sawa Nkamu Ila kuhusu hii nyingine inabidi tufungue na kuomba aisee Mungu aachilie roho ya msamaha
Lamomy said: Ukiwa tayari utaniambia nikulipe Click to expand... πππππππ Sawa Nkamu Ila kuhusu hii nyingine inabidi tufungue na kuomba aisee Mungu aachilie roho ya msamaha
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,085 Countrywide said: Umepanic bure tu, nilishampa maelezo Alafu punguza jazba na kupandisha mabega Click to expand... Mtajijua wenyewe nilishasema sitaki hizo drama..
Countrywide said: Umepanic bure tu, nilishampa maelezo Alafu punguza jazba na kupandisha mabega Click to expand... Mtajijua wenyewe nilishasema sitaki hizo drama..
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,825 Reaction score 233,258 Aug 11, 2024 #389,086 Countrywide said: Umepanic bure tu, nilishampa maelezo Alafu punguza jazba na kupandisha mabega Click to expand... Kabisa Hili limeisha Asipanic.
Countrywide said: Umepanic bure tu, nilishampa maelezo Alafu punguza jazba na kupandisha mabega Click to expand... Kabisa Hili limeisha Asipanic.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,381 Reaction score 80,260 Aug 11, 2024 #389,087 Grahams said: Hapana, hii iko kawaida tu Halafu sio chungu wala nini Click to expand... Inaitwaje hii mkuu niitafute itanifaa jioni ya leo
Grahams said: Hapana, hii iko kawaida tu Halafu sio chungu wala nini Click to expand... Inaitwaje hii mkuu niitafute itanifaa jioni ya leo
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 11, 2024 #389,088 Lamomy said: Mtajijua wenyewe nilishasema sitaki hizo drama.. Click to expand... Bado uko na panic Tulia relax, pia usipandishe sana mabega maana tumeshazungumza sana hili na jana tumezungumza.
Lamomy said: Mtajijua wenyewe nilishasema sitaki hizo drama.. Click to expand... Bado uko na panic Tulia relax, pia usipandishe sana mabega maana tumeshazungumza sana hili na jana tumezungumza.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,089 Saint Anne said: πππππππ Sawa Nkamu Ila kuhusu hii nyingine inabidi tufungue na kuomba aisee Mungu aachilie roho ya msamaha Click to expand... Nkamu haki ungekuwa karibu ningekurukia kichwa.!! Au umeamua kunikwaza leo?? πππ
Saint Anne said: πππππππ Sawa Nkamu Ila kuhusu hii nyingine inabidi tufungue na kuomba aisee Mungu aachilie roho ya msamaha Click to expand... Nkamu haki ungekuwa karibu ningekurukia kichwa.!! Au umeamua kunikwaza leo?? πππ
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 11, 2024 #389,090 Saint Anne said: Kabisa Hili limeisha Asipanic. Click to expand... Panic ya bure tu na mabega juu
and 100 others JF-Expert Member Joined Feb 3, 2023 Posts 4,515 Reaction score 14,979 Aug 11, 2024 #389,091 Kama hakupendi kubali tu mzee.. mbona unamlazimisha...
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,092 Saint Anne said: Kabisa Hili limeisha Asipanic. Click to expand... Sijapanic nilikuwa naclear hiyo kuniambia mi muhusika wa cake
Saint Anne said: Kabisa Hili limeisha Asipanic. Click to expand... Sijapanic nilikuwa naclear hiyo kuniambia mi muhusika wa cake
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,825 Reaction score 233,258 Aug 11, 2024 #389,093 Lamomy said: Nkamu haki ungekuwa karibu ningekurukia kichwa.!! Au umeamua kunikwaza leo?? πππ Click to expand... Yaani hata mitama nikate tu Nkamu ila Bwana wa majeshi anafanya njia tenaπππ Sema Amina
Lamomy said: Nkamu haki ungekuwa karibu ningekurukia kichwa.!! Au umeamua kunikwaza leo?? πππ Click to expand... Yaani hata mitama nikate tu Nkamu ila Bwana wa majeshi anafanya njia tenaπππ Sema Amina
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,710 Aug 11, 2024 #389,094 Vincenzo Jr said: Inaitwaje hii mkuu niitafute itanifaa jioni ya leo Click to expand... Kwani Kuna mtu amekula nauli yako?? Hii inatumika ukiwa mnatafuta Watoto tu π
Vincenzo Jr said: Inaitwaje hii mkuu niitafute itanifaa jioni ya leo Click to expand... Kwani Kuna mtu amekula nauli yako?? Hii inatumika ukiwa mnatafuta Watoto tu π
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,095 Countrywide said: Bado uko na panic Tulia relax, pia usipandishe sana mabega maana tumeshazungumza sana hili na jana tumezungumza. Click to expand... Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!!
Countrywide said: Bado uko na panic Tulia relax, pia usipandishe sana mabega maana tumeshazungumza sana hili na jana tumezungumza. Click to expand... Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!!
1 1995lu Member Joined Mar 27, 2024 Posts 42 Reaction score 106 Aug 11, 2024 #389,096 Kati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Kati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,825 Reaction score 233,258 Aug 11, 2024 #389,097 Lamomy said: Sijapanic nilikuwa naclear hiyo kuniambia mi muhusika wa cake Click to expand... Mhusika bado hajatajwa Ila Roho ya Bwana anasema unaweza kuwa wewe Nkamu wangu We hufurahi?πππ
Lamomy said: Sijapanic nilikuwa naclear hiyo kuniambia mi muhusika wa cake Click to expand... Mhusika bado hajatajwa Ila Roho ya Bwana anasema unaweza kuwa wewe Nkamu wangu We hufurahi?πππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,105 Aug 11, 2024 #389,098 Saint Anne said: Yaani hata mitama nikate tu Nkamu ila Bwana wa majeshi anafanya njia tenaπππ Sema Amina Click to expand... Nyie ndo mnafanya watu wajiunge Alshabab ili wawalipue Mxieeeeww πππ
Saint Anne said: Yaani hata mitama nikate tu Nkamu ila Bwana wa majeshi anafanya njia tenaπππ Sema Amina Click to expand... Nyie ndo mnafanya watu wajiunge Alshabab ili wawalipue Mxieeeeww πππ
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 11, 2024 #389,099 Lamomy said: Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!! Click to expand... Naamini imeeleweka na limeisha hilo
Lamomy said: Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!! Click to expand... Naamini imeeleweka na limeisha hilo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,825 Reaction score 233,258 Aug 11, 2024 #389,100 Nkamu kuwa mpole kidogo basi na wewe khaa! Bado umekaza tu Lamomy said: Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!! Click to expand...
Nkamu kuwa mpole kidogo basi na wewe khaa! Bado umekaza tu Lamomy said: Unarudia tena.! Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!! Click to expand...