Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,210
Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Unazuga tu! Vocha ushachukua weweπHaya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Embu tuma yako min akee nikuoneSelfika mnachati badala ya pichaπ
Uliniona ukanichukulia poa situmi tenaπππEmbu tuma yako min akee nikuone
Wee! Tatizo ni mweupe kama papaiβΊοΈπUliniona ukanichukulia poa situmi tenaπππ
Hahhahaha uliangalia vibaya panya buku wewe.Wee! Tatizo ni mweupe kama papaiβΊοΈπ
picha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Weee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwishoMimi natumia airtel no zangu
π€£ππpicha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Nachoka kila siku kukufundisha kuandikaπWazee na picha wapi na wap kijanaπ
Njoo pm nikupe ya mwishoWeee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwisho
Futa hii nimerekebisha tayariππNachoka kila siku kukufundisha kuandikaπ
Enzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka bureeπ€£ππ
Subiri nikufundishe utaalamu! Comment sifuti lakini angalia utaona nimekurekebishiaFuta hii nimerekebisha tayariππ
Nimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa πππ€£π wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe ππEnzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka buree
Tajiri usitoe maelezo mengi sanaaaa, pumzikaNiliiingia Dukani angalia shelf zote sioni Konyagi nikaagiza vocha tuu,, na simu ina kifirushi cha mwezi Combo.. ingia selfika nataka niweke picha nakutana nayo.
ChaiππNimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa πππ€£π wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe ππ
Hana baya tajiri vijana wanamsumbuaTajiri usitoe maelezo mengi sanaaaa, pumzika