Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,721 Unaniambia Mimi sizijui pesa mtoto mdogo wewe
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,722 ephen_ said: Dah! Unaniita kwenye picha ya mipesa wakati sina hata 50 mbovu🥹 Click to expand... Kuna watu wameleta dharau hapa 😂😁🤣😂
ephen_ said: Dah! Unaniita kwenye picha ya mipesa wakati sina hata 50 mbovu🥹 Click to expand... Kuna watu wameleta dharau hapa 😂😁🤣😂
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,723 Vincenzo Jr said: Kuna watu wameleta dharau hapa 😂😁🤣😂 Click to expand... Kwahiyo hizo ni hela zako?🤔 Vidole vyako navijua fanya kutupia video ukiwa unazihesabu hizo pesa
Vincenzo Jr said: Kuna watu wameleta dharau hapa 😂😁🤣😂 Click to expand... Kwahiyo hizo ni hela zako?🤔 Vidole vyako navijua fanya kutupia video ukiwa unazihesabu hizo pesa
amshapopo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 2,166 Reaction score 4,756 Aug 4, 2024 #388,724 Nipate Dau coz haya maisha usipopambana nitaishia kuita watoto wazuri shemeji 😂😂😂 Nyamwi255 said: Upambane upate nini swahiba🤣 dlo Click to expand...
Nipate Dau coz haya maisha usipopambana nitaishia kuita watoto wazuri shemeji 😂😂😂 Nyamwi255 said: Upambane upate nini swahiba🤣 dlo Click to expand...
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,725 ephen_ said: Kwahiyo hizo ni hela zako?🤔 Vidole vyako navijua fanya kutupia video ukiwa unazihesabu hizo pesa Click to expand... Unataka nipewe nyeupe au
ephen_ said: Kwahiyo hizo ni hela zako?🤔 Vidole vyako navijua fanya kutupia video ukiwa unazihesabu hizo pesa Click to expand... Unataka nipewe nyeupe au
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 4, 2024 #388,726 Tupambane ndio Ila sisi tutafute og sawa😂😂 amshapopo said: Nipate Dau coz haya maisha usipopambana nitaishia kuita watoto wazuri shemeji 😂😂😂 Click to expand...
Tupambane ndio Ila sisi tutafute og sawa😂😂 amshapopo said: Nipate Dau coz haya maisha usipopambana nitaishia kuita watoto wazuri shemeji 😂😂😂 Click to expand...
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,727 Vincenzo Jr said: Unataka nipewe nyeupe au Click to expand... Sawa tajiri..!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,780 Reaction score 132,064 Aug 4, 2024 #388,728 ephen_ said: Sawa tajiri..! Click to expand... Kwa hiyo mimi kapuku sio😭😭
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,729 ephen_ said: Sawa tajiri..! Click to expand... Twende kwenye Uzi wetu ukaniekee nyimbo nzuri kwanza
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,730 min -me said: Kwa hiyo mimi kapuku sio😭😭 Click to expand... 🤣😁😁Mzee wa dollar
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,731 min -me said: Kwa hiyo mimi kapuku sio😭😭 Click to expand... Wewe ndiye tajiri yangu tatizo lako hupigi picha na pesa☺️
min -me said: Kwa hiyo mimi kapuku sio😭😭 Click to expand... Wewe ndiye tajiri yangu tatizo lako hupigi picha na pesa☺️
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,732 Vincenzo Jr said: Twende kwenye Uzi wetu ukaniekee nyimbo nzuri kwanza Click to expand... Ila wewe😂🙌
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,780 Reaction score 132,064 Aug 4, 2024 #388,733 ephen_ said: Wewe ndiye tajiri yangu tatizo lako hupigi picha na pesa☺️ Click to expand... Mimi sina pesa😪
ephen_ said: Wewe ndiye tajiri yangu tatizo lako hupigi picha na pesa☺️ Click to expand... Mimi sina pesa😪
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,780 Reaction score 132,064 Aug 4, 2024 #388,734 Vincenzo Jr said: 🤣😁😁Mzee wa dollar Click to expand... Nazitoa wap master?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,735 min -me said: Mimi sina pesa😪 Click to expand... 😎Ninyamaze nisije kuchomoa betri bure
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,736 min -me said: Nazitoa wap master? Click to expand... 🤣😁😁😁😁
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,780 Reaction score 132,064 Aug 4, 2024 #388,737 ephen_ said: 😎Ninyamaze nisije kuchomoa betri bure Click to expand... Nitakupiga nikuue😒
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,248 Aug 4, 2024 #388,738 ephen_ said: Ila wewe😂🙌 Click to expand... Mda wa kumuangalia anitta huu twenzetu
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,739 min -me said: Nitakupiga nikuue😒 Click to expand... Ndio maana nimefunga mdomo🤐
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 4, 2024 #388,740 Vincenzo Jr said: Mda wa kumuangalia anitta huu twenzetu Click to expand... Twende...