Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha wee
Sawa sawa tajiri
Jichanganye kidogo kariakoo,lamomy yupo huko kaa naye hata mwezi tu
Hotelini za uswahili huwezi kushikashika dola
Yani katika vitu kanifanya nizidi kumuona mjinga zaidi ni kwa hili.!
Huyu ni mshamba aje nimpe kazi ya kuchukua dollar kwa wateja mwezi mzima ili azizoee kidogo itamuondolea ujinga.!!
Sasa hotel za kiga wateja wabongo wanaenda na shillings, dollar atazijulia wapi?
 
Yaani una maanisha kinyume chake
Unaumia sana kutokuzijua dollar
Hujachelewa bado.

Nenda tu usione aibu.
Hamjasema mpaka mseme hamjasema visukari vimewapanda na mtasema kusema ukweli imekuuiingia wa kanisani πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜
 
πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š tukutane taifa mwananchi
 
WananchiiiπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šCc min -me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…