Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hadi picha ya dollar za mtu inakuuma roho?
Hizo zake ni mpya bado hazijapita mikononi sana
 
Nilichokiona una kiroho cha kwanini (roho ya kazopata)
Unaumia na maisha ya wengine, picha nimekuwekea na video juu.! Ww za kwako sizioni zaidi ya kuniletea za you tube na google.

Narudia tena acha kuniweka moyoni utanakoelekea utapata sonona.!
Sikujibu tena naona unaforce nikujibu na mimi hizo level nishavuka πŸ—‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…