Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui ni lini hela za bongo zitakuwa na thamani, hizo zingekuwa madafu yetu hio sehemu ingejaa hela tupu
Acha kabisa pesa za bongo hapo zingejaa kifungashio cha 500.!
Shilling haina thamani na hivi dollar imepanda ndio kabisa ukibeba 50m una bonge la mzigo.!
 
Acha kabisa pesa za bongo hapo zingejaa kifungashio cha 500.!
Shilling haina thamani na hivi dollar imepanda ndio kabisa ukibeba 50m una bonge la mzigo.!
Changamoto mno, kuna siku nilibeba milioni 5 keshi ni kamzigo fulani kanachokukosesha utulivu ila ingekuwa za wenzetu unaweka kwenye walet tu, wakati ufike kuwe na noti ya laki
 
Changamoto mno, kuna siku nilibeba milioni 5 keshi ni kamzigo fulani kanachokukosesha utulivu ila ingekuwa za wenzetu unaweka kwenye walet tu, wakati ufike kuwe na noti ya laki
😹😹😹 noti ya laki.!!
Umefanya nicheke aiseee.!!
Mzungu pesa yake ukiibeba kuna ka confidence flani kanakujaga automatically
 
Usijali nkamu limeisha hilo πŸ˜‚
Umenikumbusha mbali Kariakoo
Wakati ndio naingia mjini tu
Siku moja nilibambikiwa Dola feki za note 100 kama 5 hivi

Nikashtuka
Nikajua aliyenibambika

Sijui ningembebea tajiri mbeleko ganiπŸ’”πŸ˜‚
Mshahara wangu wa miezi kadhaa ningetumia kulipa deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…