Akili zetu zimedumaa kwa mali tulizonazo tunaweza kujenga hata kipindi hiki..
Mitambo ya Ujenzi kuingiza Tanzania ni kama unaleta kitu Peponi au magari ya Ujenzi kwa hiyo gharama za Ujenzi zinakua juu kwa sababu ya kodi kubwa kwenye vifaa wakati bado tupo kwenye kuhamasishana kuwa na vyoo bora...
Tanzania ina mali sawa na SA ni vile sisi ni Wadumavu na hatupendi maisha bora kwa wote..