Selfika na JF: Snap it. Show it

A note,to say thank you!!
Sina la kusema zaidi ya "Asante"
Mungu awabariki,mlipotoa akawajaze.
Najua ni moyo wa upendo si vinginevyo!πŸ™πŸ€
Saint Anne
Aaliyyah
Mjep
Grahams Babu
Lamomy
Pendaelli
Glenn my brother
πŸ™πŸ™πŸ€
Najua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.

Lakini unaweza kupata neno la Faraja lisemalo

"Naye atafuta kila chozi katika macho yao...." Ufunuo 21:4

Pole sana Mjukuu πŸ™
 
Pole sana tayana, Mungu ni mwema siku siku zote tunapaswa kumshukuru kwa yote hata yakiwa magumu kiasi gani, pole tena na tena.
Asante nawe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…