Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,212
Mashallah ππ ntaenjoy kuona kitumbua ππππππBasi tulia hapahapa nitaselfika na tight yangu
Mnakula vitu vya ajabu sanaπππKhe
Kunasehemu napitaga kwendasokoni mishikak inanukia balaa watu kibao
Nikasema ngoja Leo nam nipite
Mwee nakuta pumbu hae hae kwenye moto watu wanachagua πππ
Nikajiuliiza wakienda kununua Huwa wanasemaje wanataka nn π€£π€£π
Kitumbua hamna labda maandaziMashallah ππ ntaenjoy kuona kitumbua ππππππ
Naam ntaona andazi mujaarabu selfika basi πKitumbua hamna labda maandazi
Tulia! Namalizia kuvaa crop top yanguNaam ntaona andazi mujaarabu selfika basi π
Ushamaliza au bado ?Tulia! Namalizia kuvaa crop top yangu
Tight inagoma kupanda kua mpole kiongoziUshamaliza au bado ?
Hujambo AaliyaπππMy Wii kumbe watu wanamgombea Babu si watamuua Kwa presha
Sijawah kula wala kujaribu mwenyew nilishangaaMnakula vitu vya ajabu sana
Sijambo mamboHujambo Aaliya
Ila nyie aisehππππππWewe una sura nyingi km agano la kale πΉπΉ
Vipi pariii wazima?
Evening sweetheart...Evening selfika
Nichukulie hae hae za kutosha MkuuSijawah kula wala kujaribu mwenyew nilishangaa