Selfika na JF: Snap it. Show it

ndyoooo.

Uduguuu nimetokaa kucheka hapaa, kuna clip nimeionaa, nyie ba tamu namchambaa kesho atajutraaa, sio kwa kuniweka unyonge vilee khaaah .

Yaan nimechekaa had baas.

Ba tamu alikuweka unyonge gani tena?

Usinambie mmeanza tena maseke yenu??
 
Siku ya kwanza aliniita mie mwizi, kisa sikua natulia ghetto kwake, yaan mara niulize hiki, mara kilee.

Sasa hapa nimeona clip vijana wanafundishana namna wageni wakija kwenye maghetto yao


Utakuwa mwizi kweli shoo
Rusha hiyo clip basi nione na mimi nichukue mbinu.

Uduguu kuna clip niliona x jana nilicheka balaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…