Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee handsome boe!! Em selfika bas, mda wotee kunisumbua tsup!!
Bas njoo tuchat hapaa!! Sasa c naongea na uduguu angu, wee unaumia vipiii?


Ko nikisema kuhusu ba tamu unaumiaa? Si ulitaka umuone live nkakuoneshaa!! Una kasirika nn? Wee hukuniaminii bhanaa.

Nimekuachaa na waaminifu utambee nao, ila nimemic sex ako!!
 
Wewe uduguu dalili zinaonyesha na wewe unampenda bana, 😜
Hivi mtu anaanzaje kuweka mazoea na wewe ya kijinga kiasi hiko na utegemee shem afurahie?? Wee ukimkuta binti anaenda kwake kucheck movie utatulia?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uwe unabadilisha na upande wako uone ilivyo ngumu.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumekucha
Ila uduguu.!! Umemiss nini??
 
Mkaka wa selfika, alinielewa na mie nikamuelewaa.
tatizo hakuniaminii, nkamueleza ukweli wotee haamini.
Bas tukaachana, toka tuachane kahama selfika, kahamia jukwaa LA tech hukoo.

Muda umepitaa wee, eti anarudi kwangu, nkamuambia ukweli mie niko na mtu haamini, akasema km kweli Una mtu fanya nimuone live, nkatumia mbinu zangu had akafanikiwa kumuonaa toka hapo ni lawama tyuuh huko tsup.

Sasa wee mie watu wawili nawezaje kuwamilikiii? Woiiiiiiih
 
Dah, au basi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo uko pm unabebishwa uduguu.!! Hongera zako, mwambie shem namsalimia.!!

Ila naona na wewe kamoyo kamemzimia bana.!! 🀣🀣🀣
Akikaza unawamiliki wote wawili, dalili nishaziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…