CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Apple juice+grants ni nzuri ssna beibeπππ Hii ndo nasikia kwako kwa mara ya kwanza
Bado hii sijaikubali πππApple juice+grants ni nzuri ssna beibe
Haya mambo tuachie wanywaji beibeπBado hii sijaikubali πππ
mimi uyooooπππππππ wifi weee
Nasemaje huyo wa ceres atoke hapo, mwenyewe niko njiani nakuja πππHaya mambo tuachie wanywaji beibeπ
hakika sijawahi pendwa na wakaka weusi sijui kwanin,,mimi ni black ila natongozwa na whites tuπππππππ Kwahiyo umetusaliti wenzio umetembea na mwanaume white!! Si tulikubaliana tall, dark & handsome
Nani mwingine π₯°mimi uyooooπππ
nisaliti ule ban πNani mwingine π₯°
ππππ wengine weupe wao wa kukerahakika sijawahi pendwa na wakaka weusi sijui kwanin,,mimi ni black ila natongozwa na whites tuπππ
Siwezi wii πnisaliti ule ban π
aaah m nshakwambia sijali bwana wewe ila muhim sio wa kujikoboa wooooiiii πππππππ wengine weupe wao wa kukera
sema wewe mnafiki sana ππ ulisema pm hua hupend kuchat daaah kwel hii jeyiefuSiwezi wii π
Kuna mtu ananichekesha pm hapa basi mbavu zinaniuma
Bi mkubwaπNasemaje huyo wa ceres atoke hapo, mwenyewe niko njiani nakuja πππ
ππππ hutaki wakongoaaah m nshakwambia sijali bwana wewe ila muhim sio wa kujikoboa wooooiiii πππ
Ni mwanamke bana bff wangu wa JF πππsema wewe mnafiki sana ππ ulisema pm hua hupend kuchat daaah kwel hii jeyiefu
Mxiuuu faki themππππ sitaki mimi bwana weweeeeeeeee,,kwanza npo bize nalea saivi niacheππππ hutaki wakongo
Uongo!! Nimesema atoke hapo πBi mkubwaπ
sjakuulza nani uyo,, soma vizur nlchoandka ππNi mwanamke bana bff wangu wa JF πππ
Namfukuzaje Bi MkubwaUongo!! Nimesema atoke hapo π