Selfika na JF: Snap it. Show it

Mana hiyo ndio kasoro yao kubwa kwangu, utasema waliwahi kuniona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee ni mfupii? Mbna mrefuu bhana, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mie naambiwa miguu km fito, jamaniiii ila watu aaah.
 
Na kufukua kabisaaa, yaan imebaki mifupaa tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu kumbe una bonge la shem hb na husemi 😍😍😍
Hana kaka yake uniweke 🀣🀣🀣🀣
 
Uduguu kumbe una bonge la shem hb na husemi [emoji7][emoji7][emoji7]
Hana kaka yake uniweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ameoa mwaka jana Kaka ake.
Mparee mrefuu, had nahisi anadanganya, japo ubini wake una akisi upareni.
 
Wee ni mfupii? Mbna mrefuu bhana, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mie naambiwa miguu km fito, jamaniiii ila watu aaah.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatareee uduguu!!
Sasa miguu km fito lkn si inakanyaga breki na clutch!! Wao yao ya kupalilia iko wapi???
 
Hebu tuma kwani faranga ya ushawishi, sasa nimkoki uduguu buree buree, wee lekcharaaa kuwezaa.?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu maokoto yatakuponza khaaaa!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…