Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,470
- 95,995
Hahahahaha..ndo nataka kujuaMbona chupa imechorwa vibayavibaya,itakuwa tamu kweli?
Umeachiwa kwa muda kdg..hahahahahahaMakofi matatu!pwa pwa pwa...
Jadda huyo kuku Aiseeπ
Me nimefanikiwa kuona na zile meli Kwa mbali, kwa waliofauru Geography hasa maps and photography watajazia nyama kuhusu location/main activity/time the picture was taken n.k
Hahaha..yeah wako Vizuri kwenye misosi ππJadda huyo kuku Aiseeπ
Naomba nisave picha ili nile kwa macho
Halafu ndizi zinaonekana ni tamu sanaaaaaa hadi kichogoni
Mkuu wewe mbona kama nahisi unapajua Sema unatuzuga tu hapa ππMe nimefanikiwa kuona na zile meli Kwa mbali, kwa waliofauru Geography hasa maps and photography watajazia nyama kuhusu location/main activity/time the picture was taken n.k
Bahati mbaya miwani yangu imevunjika, ningetaja the exactly location πMkuu wewe mbona kama nahisi unapajua Sema unatuzuga tu hapa ππ
Aisee! Kuna watu mnakula afu Kuna Mimi sasaView attachment 2993180
Nimeambiwa Profesa Janabi bado yupo Likizo, Wacha nile ya mwisho mwisho kabla hajarudi π
Hello Saturday π₯
Kwamba wewe huli sana Mkuu?Aisee! Kuna watu mnakula afu Kuna Mimi sasa
Exim bank
Shikamoo babuView attachment 2993180
Nimeambiwa Profesa Janabi bado yupo Likizo, Wacha nile ya mwisho mwisho kabla hajarudi π
Hello Saturday π₯
Marahaba Mjukuu, habari za Jumapili?Shikamoo babu
Wacha weeView attachment 2993180
Nimeambiwa Profesa Janabi bado yupo Likizo, Wacha nile ya mwisho mwisho kabla hajarudi π
Hello Saturday π₯
Una kilo ngapi alafu tutajua km unakula au unafukia?πAisee! Kuna watu mnakula afu Kuna Mimi sasa
60-64kg kila nkipima nachezea range hyo.Una kilo ngapi alafu tutajua km unakula au unafukia?π