Oooh pole sana,kama ni hivyo kweli tatizo.....jitahidi upate hata matundaNapenda sana π₯¬ Jo, ila sasa nimehamia sehemu ambayo siwezi kuendeleza ka-system kangu ka zamani.
Nilikuwaga nikienda sokoni kuna mmama ananisafishia vyakutosha alafu ananikatia za kukata na za kuchambua anachambua, nakua na mboga za kula wiki nzima. Sasa hivi nimehamia sehemu nyingine, sokoni mbali panatia uvivu kwenda, na siku nikienda napata tabu kuchagua pakununua maana sijawazoea.π΅π΅
Ila namiss sana.πView attachment 2984764View attachment 2984765
πmwambie mwenzio ukweli afanye mazoezi,Mremboooooooπ₯°π₯°π₯°π
Ina pendeza
ππLamomy Depal Saint Anne Chakorii Aaliyyah Nuzulati Mahondaw Lovelovie Lenie Dr Lizzy cocastic mshamba_hachekwi Carasco Putin raraa reree Vincenzo Jr Red black Ntiluseswa Active Grahams Alayna Darlin Kelsea Hannah Mshana Jr Jack Palladino Mjep reymage nawasalimia sana wadau wanguvu sana mje mselfike jamani
Bora wewe umesema ukweli hawa wengine wanafkiπmwambie mwenzio ukweli afanye mazoezi,
Mim nasema kweli mamieπmwambie mwenzio ukweli afanye mazoezi,
mshamba_hachekwi unajitahidi kucheat siyo? π Umekosa ila unajua sana magari nimekubaliMercedes Benz C class
Kati ya 300 sport au 4dr sedan
Shusha basi liselfie long tym sana hatujaona kibeby face chakoππ
Hahahahahaπ€£π€£π€£π€£Siku hizi unajiachia balaa...unanifurahisha sana
Kuwa na subraUnanipanga ww
π Embu kula au unaogopa utagain weightHuwez amini nilipunguza hapo
Hamna ndo Niko hivo napenda kupika pika ila sio mlaji sanaπ Embu kula au unaogopa utagain weight
Hiyo kauli ya Nyee nyee nina muda mrefu sijaisikia Mkuu π πNa ulivyo kababyface nisisikie baada ya mwezi wa 7 mtu analeta nye nye nyeee mimi nilishakupendea hivyo hivyo ππ
Nikichukua Likizo, nitakuja unitembeze hayo maeneo yako boss, yatasaidia kuongeza utulivu wa kichwa kwa sisi Wazee π