Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 ushakuwa mchagga ee
 
I'm real thankful 🙏

Nafurahi kwamba yale mafunzo tuliyokupatia ya kulima bado unayaenzi japo umehamia Mjini 🤗👏
Siwezi kuacha urithi wa Babu na bibi yangu vipenzi....hapa ndio naelekea Mbinga kuuza kahawa zangu na ufuta... Asanteni Kwa mafunzo mema nikirudi na mzigo nakupeleka dinner Johari Rotana kule juuu kabisa Babu ule matunda ya mjukuu
 
Alafu unaweza ukadharau Bei ukija kushtuka lelf 50 imekata sikuile bila kuwa na ATM karibu ningedhalilika 😂😂
Yaan pale unachaguaa ukija kushtuka total imetembea balaa.

Mjini hapa mamdogo auntie hatuwezi dhalilika 😂😂😂 simu moja tu tutapiga mahesabu nyumbani
 
Yaan pale unachaguaa ukija kushtuka total imetembea balaa.

Mjini hapa mamdogo auntie hatuwezi dhalilika 😂😂😂 simu moja tu tutapiga mahesabu nyumbani
Walivo wajanja wanakupa na kikapu bhana wee ni unaweka tu 😂😂😂

Kwakweli hapa mjini muhimu vocha tu iwepo kwenye simu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…