Selfika na JF: Snap it. Show it

Hello aamina πŸ€—

Umefanana na Mjukuu wangu mmoja, sijui kwanini nafsi inataka kuniambia ni wewe πŸ˜œπŸƒ
Babu tuko pamoja,ila tuuchune maana huyo mjukuu wako unaemuwazia ni most wanted dead or alive,wakimgundua tu wanamsweka rumandeπŸ₯²πŸ₯²
 
Babu tuko pamoja,ila tuuchune maana huyo mjukuu wako unaemuwazia ni most wanted dead or alive,wakimgundua tu wanamsweka rumandeπŸ₯²πŸ₯²
Amefanya nini hadi awe wanted kiasi hicho?

Ukimwona mwambie Babu yake anamsalimia japo ametususa Mimi na Bibi yake πŸ€—
 
hili jina nikiitikio cha dua shekhee acha umalayaaaa
Ulitaka kusema Amen πŸ™

Kumradhi Mkuu wangu, zilikuwa ni soga tu kuchangamsha Mji

Si unajua Mji bila Wazee hauendi πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…