Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,318
- 95,686
Inatosha hiyo ..labda anatuokoa sie ndugu zake tusipagawe sana🤣🤣🤣🤣🤣Jitahidi maana hapo naona kama una karangi ka mtume ila kama unakuja halafu unakataa
🤣🤣Pagawa at ur own risky!aweke tu clearInatosha hiyo ..labda anatuokoa sie ndugu zake tusipagawe sana
Hahahahaha kupagawa hapana ..🤣🤣Pagawa at ur own risky!aweke tu clear
Hapo mbona ushamaliza,we tulia tu..hata Leo ikipita usijali ila wiki hii hakikisha unakunywakunywa sana hapo Kwa Mangi lazima Kuna kitu kitatokea😁Hahahahaha sasa na yeye ajiongeze basi arudi tena afanye kasahau kitu , aaagh ..maana mangi analipa kwa namba hapa
Leo kwani unakunywa Nini mbona kama zinakuletea mambo meusi🤔?Hahahahaha kupagawa hapana ..
Hahahahaha...Leo kwani unakunywa Nini mbona kama zinakuletea mambo meusi🤔?
Jana mwili uligoma.Nasubiri pic😅
Nakaribia chap 😅Jana mwili uligoma.
Karibu bia za in door 😂
🔥🔥🔥🔥🔥Zaburi 24:1
Dunia na vyote viijavyo ni Mali ya Bwana...
Saint Anne Leo nimeamka nikaona haya maua yameota nje kwangu yakanivutia nikasema ngoja niitengeneze home made fresh deco,see the beuty, Dar pazuri bwana😍....
Mama Junia hebu nisaidieni nataka kuandaa unga wa ugali napenda sana Dona hakuna namna nyingine au nafaka zingine za kuchanganya ugali ukawa mzuri zaidi🔥🔥🔥🔥🔥
Wewe ni designer mzuri dada yangu
Kuza kipaji ufungue na duka ya fresh flowers.
Kuna moja lipo hapa Dom bungeni ni 🔥,hela wanapiga.
Dona sijawahi kuipenda hata siku mojaMama Junia hebu nisaidieni nataka kuandaa unga wa ugali napenda sana Dona hakuna namna nyingine au nafaka zingine za kuchanganya ugali ukawa mzuri zaidi
Nina mahind meupe na mahindi ya njano
Amiiin...maneno yako yakapate kibali mbele za Bwana akayafanye yawe halisi🔥🔥🔥🔥🔥
Wewe ni designer mzuri dada yangu
Kuza kipaji ufungue na duka ya fresh flowers.
Kuna moja lipo hapa Dom bungeni ni 🔥,hela wanapiga.
Nimekuona jana kwenye mabanda ya CCM Iringa. 😀😃😄😁😆Kajiharibu.
Amen[emoji3590]Amiiin...maneno yako yakapate kibali mbele za Bwana akayafanye yawe halisi
Mahondaw 🔥🔥🔥🔥🔥😊🎵Mjuzi wa vanga amefungaga supa yake CV
Weka Smart karangaa miuno ka fally iIpupa sikisiii
Nafika Tanga to Zanzibari Waambieni nampendaaa🎵🎵
Mkuwe na Usiku mwema wapendwa 💤😴💤😴!